Guess! Hawa wachina wamedakwa kwa sababu ya bidhaa feki au? Walinaswa na camera yangu jumatatu ya wiki hii
Mpaa samaki akifanya mambo yake katika soko la feri, Dar.
Bongo girls noma! hapa ni mtaa wa Ohio, Dar es Salaam
Nakukaribisha katika Blogu ya Akida uhabarike kwa habari za Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani zilizotokea na zitakazotokea... 'be the First to know..!