Nakukaribisha katika Blogu ya Akida uhabarike kwa habari za Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani zilizotokea na zitakazotokea... 'be the First to know..!
Tuesday, December 23, 2008
Matukio mbalimbali jijini Dar es Salaam
Guess! Hawa wachina wamedakwa kwa sababu ya bidhaa feki au? Walinaswa na camera yangu jumatatu ya wiki hii
Mpaa samaki akifanya mambo yake katika soko la feri, Dar.
Bongo girls noma! hapa ni mtaa wa Ohio, Dar es Salaam
Msongamano umezidi sana bongo! hapa jamaa wakivuka katika barabara ya bibi titi, Dar
Picha imejirudia
Meli ya mizigo ikiondoka katika bandari ya Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment