Thursday, April 15, 2010

BAADA YA MASOMO NI WAKATI WA KULA MATUNDA...


Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam wakichagua matunda aina ya 'Apples' kwa ajili ya kununua leo mchana nje ya shule hiyo iliyopo eneo la Gerezani, jijini baada ya kutoka katika vipindi vyao vya masomo. Tunda moja liliuzwa kati ya sh 50 na 100 kutegemea ukubwa.

No comments:

Post a Comment