Maporomoko ya Maji katika Kijiji cha Chomvu, Usangi
Hii ndiyo nyumba ya Waziri Mkuu wa zamani, Cleopa Msuya
ZIwa Jipe linavyoonekana kutokea milima ya Usangi.
Ua hili sikuweza kulifahamu mara moja. Nililikuta meneo ya Kibosho, milimani huko
Huu ni ukungu ambao nilikutana nao maeneo ya Mweka, ni milimani kabisa huko..
Shortly, Arusha, Moshi na Mwanga nilikwenda kutembelea miradi ya Maendeleo ya Jamii inayofadhiliwa na Serikali. Kiujumla wananchi wenye miradi hiyo wamenufaika na hali zao kimaisha zimebadilika ukilinganisha na awali.
Wengine awali walikuwa wakishindia mlo mmoja kwa siku ukilinganisha na sasa hivi ambapo kwa siku wanapata mlo mara tatu. Hata ukiangalia afya zao ni nzuri na wana nyuso zenye nuru.
Kesho nitawaletea mfululizo wa kila ziara na mradi wake, pamoja na mahojiano na kila mlengwa wa mradi huo..
No comments:
Post a Comment