Thursday, April 15, 2010

REX INVESTMENT KUPELEKA UMEME WA JUA VIJIJINI...


Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wakandarasi wa Nishati ya Jua ya Rex Investment Limited, Francis Kibhisa (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya Nishati ya Jua ya Megawatt 1 toka Kampuni ya SUNTECH ya nchini China leo Dar es Salaam. Mwingine ni Meneja Mauzo wa SUNTECH, Vincent Song. Mpango huo utalenga zaidi kusaidia maendeleo ya wananchi wa vijijini

No comments:

Post a Comment