Tuesday, April 6, 2010

DOKTA KUMNG'OA LOWASSA JIMBONI

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Dk. Salash Toure ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika jimbo la Monduli, alipozungumza na waandishi wa habari mjini Arusha leo.

Kwa sasa jimbo hilo linaongozwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.


DK TOURE

No comments:

Post a Comment