Nakukaribisha katika Blogu ya Akida uhabarike kwa habari za Kitaifa, Kimataifa, Michezo na Burudani zilizotokea na zitakazotokea... 'be the First to know..!
Tuesday, April 6, 2010
KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA RWANDA KUADHIMISHA KESHO MLIMANI CITY
Maadhimisho ya Kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari, nchini Rwanda yanatarajiwa kufanyika kesho katika Viwanja vya Mlimani City kuanzia saa 9 alasiri.
Balozi wa Rwanda nchini, Fatuma Ndangiza amewaambia waandishi wa habari leo jijini hapa alipofanya nao mkutano.
Balozi Ndangiza amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho hayo.
No comments:
Post a Comment