Tuesday, April 28, 2009

JK azindua Angaza Zaidi


Rais Jakaya Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua mradi wa Ushauri Nasaha na Upimaji wa vvu, (Angaza Zaidi), leo jijini


Waigizaji wa kundi maarufu la Vichekesho nchini 'Orijino Komedi' wakifanya vitu vyao wakati wa uzinduzi huo leo

No comments:

Post a Comment