Friday, April 17, 2009

Taswira ya jamii katika Taifa


Wakazi wa eneo la Vituka, Dar es Salaam wakivuka mto Yombo kwa tabu kama walivyonaswa na Sponsor leo mchana. Eneo hilo halina majira ya kiangazi wala masika, maji kukatiza hapo ni desturi ya kawaida, hivyo kuwalazimu wakazi wa eneo hilo na watumiaji kwa ujumla kuvua viatu na kisha kuyakata maji.

No comments:

Post a Comment