Thursday, April 9, 2009

Prisons na JKT Ruvu nguvu sawa

Timu za Prisons ya Mbeya na JKT Ruvu ya Mkoa wa Pwani leo zimetoka suluhu ya 1-1 katika mchuano wa ligi kuu ya Tanzania Bara uliofanyika uwanja wa Uhuru, jijini hapa.

No comments:

Post a Comment