Tuesday, May 12, 2009

HARAKATI ZA KIKOSI CHA JWTZ KATIKA PICHA


kikosi cha JWTZ kikiwa katika onyesho maalum leo


hapa kikosi kinaonyesha ujuzi wa kukabiliana na adui


kikosi kamili kikiwa katika parade maalum


kikosi kikiwa katika pozi


Gen. Ward wa Marekani (kulia) akiteta jambo na Kmanda wa kikosi kitakachokwenda Darfur

No comments:

Post a Comment