Monday, May 18, 2009

Ligi ya soka Wanawake yavutia Karume



Mchezaji wa JKT Queens Fadhila Hamad (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka Mayciana Prosper wa EMIMA wakati wa michuano ya Ligi ya wanawake mkoa wa Dar es Salaam iliyokuwa inaendelea uwanja wa Karume jijini leo. Mpaka 'half-time' timu hizo hazikufungana..

No comments:

Post a Comment