Tuesday, May 5, 2009

Mkuu wa Majeshi atembelea majeruhi wa mabomu Muhimbili


Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange akimjulia hali mtoto aliyejeruhiwa na milipuko ya mabomu iliyotokea katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (WTZ) Mbagala, hivi karibuni, katika hospitali ya Muhumbili Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment