Monday, February 20, 2012

BENDERA AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA KIJAMII WILAYANI ULANGA


Baadhi ya wanachama wa Chama cha kuweka na kukopa cha Walimu wilayani Ulanga (Ulanga Walimu Saccos) wakiomba dua kabla ya kuanza kwa Mkutano wao wa kumi wa chama hicho uliofanyika kata ya Lupiro, ambao ulifunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera.


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akikata utepe kuzindua gari aina ya Fuso lililonunuliwa na wanachama wa chama hicho.


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja wa Watendaji wa Serikali ya Kata ya mtimbira, Wilaya ya Ulanga mkoani humo kuhusu ujenzi wa vyumba vya madarasa vya Shule ya Mtimbira.

No comments:

Post a Comment