Tuesday, February 21, 2012

WAZIRI SAMIA SULUHU ATEMBELEA UJENZI WA TAASISI YA SAYANSI YA BAHARI, UNGUJA.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akitembelea Ujenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Bahari huko Chukwani Mjini Unguja kulia Mkurugenzi wa Taasisi ya Sayanzi ya Bahari Dk Margare Kyewalyanga kushoto DK Narriman Jiddaw.i

SOURCE: Ali Juma/ VPO

No comments:

Post a Comment