Monday, February 20, 2012

MABONDIA ABDALLAH MOHAMED 'PRINCE NASEM' NA SALEHE MKALEKWA KUCHAPANA FEBRUARI 24


Bondia Salehe Mkalekwa (kushoto0 na Abdallah Mohamed 'Prince Nasem' wakitunishiana misuli wakati wakitambulisha pambano lao la ubingwa wa Kg 67 'Water Weight' litakalofanyika Februari 24 katika ukumbi wa New Kibeta, Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment