Monday, February 20, 2012

TUNATAKA MAENDELEO..!


Mkazi huyu wa Kikuyu, Mtaa wa Barabara ya Kinyambwa, Kata ya Hazina,mkoani Dodoma, John Samora akizungumzia kero yake kuhusu Mamlaka ya ustawishaji wa Makao Makuu ya Dodoma (CDA) mbele ya Mbunge wa Dodoma mjini, David Malole (hayupo pichani) kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika leo mjini humo.Source: Sifa Lubasi/ Dodoma

No comments:

Post a Comment