Monday, February 20, 2012

SWEETHEART CREAM YAINGIA MITAA YA JIJI LA MWANZA


Warembo wa Sweetheart Cream wakimshawishi mteja mkazi wa jiji la Mwanza kununua bidhaa hiyo.


Wauzaji wa bidhaa za Sweetheart Cream jijini Mwanza wakimshawishi mteja mkazi wa jiji la Mwanza kununua bidhaa hizo ikiwa ni promosheni ya bidhaa hiyo kama ilivyokutwa eneo la Mabatini.

No comments:

Post a Comment