Tuesday, February 21, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ATEMBELEA SHAMBA LA MAHINDI NANYUKI WA KISASA LA WAZIRI MKUU KIJIJI CHA VILOLO KATAVI


Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal akipewa maelezo kuhusu kilimo cha mahindi katika Shamba la Waziri Mkuu Mizengo Pinda lililopo Kijiji cha Vilolo mkoa wa Katavi wakati akiwa katika ziara yake mkoani humo jana Februari 20


Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitembelea shamba la ufugaji wa Nyuki wa kisasa la Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lililopo Kijiji cha Vilolo wakati akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Katavi na Rukwa jana Februari 20.
Source: Muhidini Sufiani/VPO

No comments:

Post a Comment