Monday, March 2, 2009

Aisee.. kumbe huyu ndio pweza...!


Raia huyu wa kigeni alikutwa na kamera yangu eneo la soko la samaki kule feri akiangalia samaki aina ya pweza kwa ajili ya kumnunua... Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, kitoweo hiki kimekuwa ni kivutio kikubwa kwa wageni watokao nje...

No comments:

Post a Comment