Tuesday, March 3, 2009

Bagamoyo kwa Samaki...


Wachuuzi wa samaki mjini Bagamoyo wakiwa wamebeba kitoweo hicho kwa ajili ya kuuza hivi karibuni. Hapa ukiangalia kwa makini utagundua aina zaidi ya kumi za samaki. Kwa harakaharaka naweza kutambua Pweza, Kolekole, Nguru, Kibua, Papa... na wengine utanisaidia msomaji wangu...

No comments:

Post a Comment