Monday, March 9, 2009

I'M NO POLYGAMIST, SAYS KIBAKI...

Rais wa Kenya, Mwai Kibaki ameitisha mkutano na waandishi wa habari na kukanusha taarifa za vyombo vya habari kuwa ana mke wa pili.

Kibaki (77), alikaririwa na baadhi ya vyombo vya habari pamoja na wanasiasa nchini humo kuwa ana mahusiano na mwanamke mwingine anaeitwa Mary Wambui.

"Unajua, ninajua na kila mtu anajua kwamba nina mke mmoja tu, Lucy... lakini vyombo vya habari vimekuwa vikirudia rudia taarifa hizo kuhusu uhusiano wangu na mwanamke mwingine..." Alisema.

Kibaki na Mkewe Lucy

No comments:

Post a Comment