Wednesday, March 4, 2009

Yanga Wakabidhiwa Jezi za thamani ya Shs Mil. 6.3...



Meneja wa Bia ya Kilimanjaro ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Oscar Shelukindo (kushoto) akikabidhi msaada wa jezi zenye thamani ya shilingi milioni 6.3 kwa Katibu Mkuu wa Klabu ya Yanga, Lucas Kisasa, katika ofisi za TFF, Dar es Salaam jana...

No comments:

Post a Comment