Tuesday, March 3, 2009

Mamia kufurika kumzika Brigedia Jenerali Simon..


Mamia ya watu wanatarajiwa kufurika katika makaburi ya Kola, Morogoro kwa ajili ya kuzika mwili wa aliyekuwa ofisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Brigedia Jenerali Simon Makaranga.


Marehemu Makaranga alifariki dunia mwishoni mwa wiki nyumbani kwake Kilakala, mkoani Morogoro...


Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, Amen!

No comments:

Post a Comment