Sunday, March 1, 2009

Navutia...

huyu ndie mrisho Ngasa aliyewapa kashkash vigogo wa Ivory Coast pamoja na mabosi wa medani ya soka Afrika... Jamaa yupo juu tuacheni utani..


Cheki nilivyotulia na rangi yangu ya asili.. Je, umevutiwa na jinsi nilivyo? wasiliana nami nikupe mbinu za kuwa muasilia kama nilivyo mimi.... next time ntatoa mawasiliano yangu, stay await...

No comments:

Post a Comment