Saturday, March 7, 2009

Shrehe za Uvishaji Nishani Maafisa na Askari wa Magereza Ukonga katika Picha


Gwaride la askari magereza likipita kutoa heshima kwa Kamishna Mkuu (hayupo pichani)


Kamishna Mkuu, Augustino Nanyaro akikagua gwaride

Hip..! Hap..! Hip..! Hap..!


Akinamama wa 'brass band' ya Magereza Ukonga wakifanya vitu vyao...


Kamishna Mkuu wa Magereza nchini, Augustino Nanyaro (kushoto) akisalimiana na baadhi ya maafisa wa Magereza...


'Brass Band' ya Magereza ikitoa heshima kwa Kamishna Mkuu (hayupo pichani)

Stafu Sajenti Hilda Hiza akitembea kwa ukakamavu baada ya kuvishwa nishani


Kamishna Mkuu wa Magereza nchini, Augustini Nanyaro akifafanua jambo kwa waandishi (hawapo pichani)

No comments:

Post a Comment