Tuesday, March 3, 2009

JK aagana na balozi wa Hispania nchini... Akutana na Wizara ya Nishati na Madini, Ikulu, jijini...


Rais Jakaya Kikwete (kulia) akipeana mkono wa kwa heri na balozi wa Hispania hapa nchini aliyemaliza muda wake, Ndugu German Zuritay Saenz de Navarrete, Ikulu Dar es Salaam leo..


Rais Jakaya Kikwete (kulia) akisikiliza kwa makini jambo toka kwa balozi wa Hispania hapa nchini aliyemaliza muda wake, Ndugu German Zuritay Saenz de Navarrete, Ikulu Dar es Salaam leo..


Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) akisikiliza jambo kwa makini toka kwa Naibu Waziri, Adam Malima wakati wizara yake ilipokutana na Rais JK, Ikulu Dar es Salaam leo..


Rais Jakaya Kikwete (kulia) akifafanua jambo alipokutana na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini, Ikulu Dar es Salaam leo..

No comments:

Post a Comment