Monday, March 9, 2009

Meli ya Maharamia wa Samaki yatia nanga bandari salama...


Askari wa usalama wa raia akiwa amesimama jirani na meli ya maharamia wa samaki (inayoonekana) iliyonaswa na askari mwishoni mwa wiki mara naada ya kutia nanga, bandari salama leo mchana...

No comments:

Post a Comment