Wednesday, March 4, 2009

Taifa Stars Warejea..


Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiingia katika gari baada ya kurejea toka Abidjan, Ivory Coast leo...


Suti hizo... wachezaji wa Taifa stars wakirejea nchini jana katika uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere, dar es salaam wakitokea ivory Coast...


Shadrack Nsajigwa na Mussa Hassan 'Mgosi' wakiwa mbele wakati timu ya soka ya tanzania 'Taifa Stars' iliporejea jana, uwanja wa ndege wa mwalimu nyerere, Dar es Salaam..

No comments:

Post a Comment