Saturday, March 7, 2009

Askari Magereza 43 wavishwa nishani


Kamishna Mkuu wa Magereza nchini, Augustino Nanyaro (kulia) akimvisha stafu sajenti, Eva Masanja nishani ya utumishi mrefu na tabia njema katika sherehe za uvishaji nishaji askari na maafisa wa Magerea Ukonga leo mchana.

No comments:

Post a Comment