Monday, March 2, 2009

Konokono za bahari ni urithi wetu...


Unapotembelea katika fukwe za bahari hukosi kukutana na konokono bahari. Lakini wengi wetu huwa hatuna mpango kabisaaa na vitu hivi, kumbe ni boooonge la dili kwa wageni, basi tu hatujui... Cheki mshkaji hapa alivyojipinda kutafuta kile kinachomvutia...

No comments:

Post a Comment