Sunday, March 1, 2009

Nicheki nilivyopozi na Mavazi ya Kindengereko...

Makamu wa Rais, Ali mohammed Shein akiwa kapozi katika moja ya viti vya asili ya kindengereko huko mkuranga jana, alipokwenda kwa ajili ya kuhutubia Wananchi mkutano wa Hadhara..

'Choma nyama! Choma Mbusi...! ndivyo wanavyoonekana wateja hawa wakisema katika moja ya majiko ya kuchomea nyama, wakati wa mashindano ya mbio za marathon, Moshi jana.


Bingwa wa mbio za 'Kilimanjaro Marathon 2009' Mkenya Johnstine Kibet Maiyo akimaliza mbio hizo jana kwa muda wa saa 2:15:24 nyuma ya Mtanzania Patrick Nyangero aliyempita kwa sekunde kumi.


No comments:

Post a Comment