Friday, March 6, 2009

Uzinduzi wa siku ya wanawake katika Picha


Mama Salma Kikwete akipokewa na viongozi mbalimbali alipowasili viwanja vya Mnzai mmoja


Wanafunzi wa Shule mbalimbali wakimshangilia Mama Salma Kikwete alipowasili Viwanja vya Mnazi Mmoja


Mama Salma Kikwete akipunga mkono kwa wananchi alipowasili viwanja vya Mnazi Mmoja..

No comments:

Post a Comment