Wednesday, March 4, 2009

Mazishi ya Brig. Gen. Makaranga katika Picha


Baadhi ya Maofisa wa ngazi ya juu wa JWTZ wakishusha ndani ya kaburi jeneza lenye mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Simon Makaranga, katika makaburi ya Kola kwa ajili ya maziko Morogoro, jana..


Baadhi ya ndugu wa karibu wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Simon Makaranga, wakiweka mashada ya maua katika kaburi baada ya kukamilika kwa maziko juzi, katika makaburi ya Kola, Morogoro. (Picha na John Nditi).


Baadhi ya Maofisa wa ngazi ya juu wa JWTZ wakishusha ndani ya kaburi jeneza lenye mwili wa Marehemu Brigedia Jenerali Mstaafu, Simon Makaranga, katika makaburi ya Kola, Morogoro jana..

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Meja Jenerali Mstaafu Said Kalembo akiweka mchanga ndani ya kaburi akiwa ni mwakilishi kwa upande wa Serikali..

No comments:

Post a Comment