Thursday, March 5, 2009

Picha za maombolezo katika msiba wa Rehema Mwakangale, Sinza..


Baadhi ya wanandugu wa karibu wa marehemu Rehema Mwakangale wakilia kwa uchungu mara baada ya sanduku lililobeba mwili wake kuwasili nyumbani kwa bibi yake Sinza, Dar es Salaam leo.


Baadhi ya waombolezaji katika msiba wa marehemu Rehema Mwakangale wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wake, Sinza Dar es Salaam leo..

Mmoja wa waombolezaji akiwa amebeba msalaba wakati mwili wa marehemu Rehema Mwakangale ulipokuwa ukiwsili nyumbani kwa bibi yake, Sinza Dar es Salaam leo..


Sanduku kulimohifadhiwa mwili wa marehemu Rehema Mwakangale likiwa ndani ya gari maalum la kubebea maiti..


Gari maalum lililobeba mwili wa marehemu Rehema Mwakangale likiwasili nyumbani kwa bibi yake, Sinza Dar es Salaam leo..

No comments:

Post a Comment