Monday, March 9, 2009

DOLPHIN ALBINO NA MAMA YAKE...


Pichani ni Pomboo wawili, Albino na Mama yake ambaye alinanaswa katika Ziwa Calcasieu, huko Luisiana. Pomboo huyo alipatwa na u’albino’ kutokana na ukosefu wa madini ya melanin katika ngozi yake. (Picha kwa hisani ya ‘China today’).

No comments:

Post a Comment