Sunday, March 1, 2009

Mimi ni Mwafrika Halisi...!

Hebu nicheki katika pozi la kimama wa afrika... situmii mkorogo wala sipeleki kichwa changu saluni... Hakika navutia..

2 comments:

  1. blog imetulia kimtindo, nimependa picha zako ni nzuri na matukio ni mazuri... kaza msuli si unaona ma blog yalivyo ya kumwaga siku hizi? competition za kufa mtu... jitahidi mzee..
    farid,
    Mbezi beach

    ReplyDelete
  2. mzee mapicha yako yametulia, yameenda shule.. ila kaka ongeza bidii katika kutuletea manyuzi kibwena mzee... sie ndio wazee wa kuchombeza tupo hapa maeneo ya mbezi beach tunakula monde na nyama choma tu,
    farid k,
    mbezi beach

    ReplyDelete