Tuesday, March 3, 2009

Mazishi ya Rehema Mwakangale Kawe-JKT..


Rehema Mwakangale hatunaye tena... Ametutoka leo asubuhi katika Hospitali ya Mikocheni hapa jijini Dar alikokuwa amelazwa. Kwa mujibu wa Mhariri wa habari wa kituo cha Televisheni ITV, Steven Chuwa shughuli za mazishi zitafanyika nyumbani kwa Baba yake Mzee Mwakangale, Kawe-JKT.


Kama wadau wenzake wa habari, tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu popote walipo, na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amina...

No comments:

Post a Comment