Wednesday, March 4, 2009

JK azindua Kikosi cha ardhini cha JWTZ...


Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete akipokelewa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) na Mkuu wa Kikosi cha Ardhini Meja Jenerali Wynjones Kisamba kuzindua rasmi kikosi hicho jana kilichopo katika kikosi cha Nyerere Msigani mkoani Pwani. (Picha na Bernard Rwebangira

No comments:

Post a Comment