Thursday, March 5, 2009

Picha za matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa zoezi la upigaji kura za maoni kuhusu wauaji wa vikongwe na albino...


Waziri Mkuu, Mizengo pinda (katikati) akibonyeza kitufe kuzindua zoezi hilo..


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuzindua zoezi hilo


Hii staili ya uchezaji wa wanenguaji wa Akudo iliwakonga sana wanafunzi...

wanenguaji wa bendi ya Akudo Impact wakikonga nyoyo za wananchi waliohudhuria zoezi hilo..


Baadhi ya wanafunzi wakiandamana kupinga mauaji ya albino na vikongwe..


Wanafunzi mbalimbali walijitokeza kupinga vitendo vya mauaji ya vikongwe na albino..

Wanafunzi tena...

Wakazi mbalimbali wa jiji walijitokeza...

No comments:

Post a Comment